online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Mkaidi

Mkaidi

Vumilia amepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu baada ya kufua dafu katika mtihani. Baba yake, Bwana Hamaki, anataka asomee kozi ya udaktari. Baba anaamini kuwa madaktari wana mishahara minono na hadhi kubwa katika jamii. Vumilia naye ana mtazamo tofauti kuhusu kozi anayotaka kusoma. Anataka kozi inayohusiana na sanaa.

 

Baada ya vuta n'kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Author:
Gichimu Njeri

Parents are also buying

KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.